MSAADA WA MABATI SHULE YA MSINGI MGARAGANZA, KIGOMA.
Tanzania Commercial Bank tumekabidhi bati 181 kwa Shule ya Msingi Mgaraganza iliyopo wilayani Kigoma mkoani Kigoma. Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kigoma Bw. Archard Bajumuzi ndiye aliyepokea msaada huo kutoka kwa Meneja wa Tawi la Kigoma katika hafla iliyofanyika shuleni hapo.