SHULE ZA MSINGI CHIHONI NA ILOLO - DODOMA
Baadhi ya wafanyakazi walihudhuria kwenye hafla ya kukabidhi madawati katika shule za msingi Chihoni na Ilolo zilizopo Mkoani Dodoma. Tukio hilo liliongozwa na Mkurugenzi wa Majanga na Vihatarishi Bw. Mosses Manyatta akiwa na Msimamizi wa kitengo cha operesheni Bw. Kolimba Tawa na Mameneja wa mkoa wa Dodoma.