MSAADA WA VYEREHANI 20 - PEMBA
Mbunge wa Kojani Pemba na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Hamad Hassan Chande (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Tawi la Pemba Bw. Shomary Rimisho mara baada ya Waziri kupokea msaada Vyerehani 20 vya kisasa vilivyotolewa kwaajili yakusaidia wakina mama katika kujiendeleza katika kukuza uchumi wa Buluu visiwani Unguja, Ikiwa ni moja ya mipango ya Benki katika kuwajibika kwa jamii (CSR), wengine pichani ni wamama wanufaika na maafisa kutoka Benki ya TCB.