MSAADA WA MADAWATI 50 NA VITI 50 KIBAHA
Mkurugenzi Rasilimali Watu na Utawala amekabidhi Viti hamsini na Meza Hamsini kwa Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mhe. Sylvestry Koka ambazo zinakwenda kusaidia Shule ya Sekondari Bundikana na Pangani.