UKARABATI WA KITUO CHA POLISI CHA WANAMAJI KYELA MKOANI MBEYA.
Tanzania Commercial Bank imezindua kituo cha Polisi cha Wanamaji Kyela mkoani Mbeya ambacho kimekarabatiwa na benki. Kituo hicho kimezinduliwa na Kamishna wa Utawala na Menejimenti ya Rasilimali Watu kutoka jeshi la Polisi Tanzania, CP Benedict Wakulyamba.