MSAADA WA MEZA NA VITI ISHIRINI (20) VYA WALIMU
Tanzania Commercial Bank imetoa msaada wa Meza na Viti Ishirini (20) vya Ofisi ya Walimu kwa Shule ya Msingi Kerezange iliyopo Kitunda na hii ni baada ya kubaini walimu wengi shuleni hapo wanakabiliwa na changamoto ya kukaa na kulazimika kutumia madawati ya wanafunzi.