MSAADA WA MADAWATI 50, UKARABATI NA UJENZI WA MADARASA MAWILI NA CHOO CHA WALIMU
Benki imekabidhi rasmi mradi wa ukarabati wa madarasa mawili ya wanafunzi, ujenzi wa choo cha walimu pamoja na kutoa mchango wa madawati hamsini (50) katika shule ya Msingi Kitunga iliyopo wilaya ya Muleba, mkoani Kagera tarehe 18.01.2022