MSAADA WA VITENDEA KAZI HALMASHAURI YA BUNDA
Tumefanikiwa kukabidhi baadhi ya vitendea kazi vya kieletroniki katika Halmashauri ya Bunda kwa ajili ya kurahisisha na kufanikisha kazi za maafisa kwenye halmashauri hiyo.
Vifaa vimekabidhiwa kwa Mkurugenzi wa Halmshauri ya mjini Bunda Bw. Emmanuel J. Mkongo.