MIFUKO 500 YA SARUJI - SUMBAWANGA
Mkurugenzi wa majanga na vihatarishi Bw. Moses Manyatta alikabidhi msaada wa mifuko mia tano (500) ya saruji kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Sumbawanga Lightness Msemo kwa ajili ya kukamilisha ujenzi pamoja na kufanya marekebisho kwenye shule chakavu.