BUNJU B PRIMARY SCHOOL
Shule ya msingi Bunju B ilipokea msaada wa vyakula mbalimbali kwa ajili ya kusaidia kwenye lishe katika kitengo maalum chenye watoto wenye mahitaji muhimu. Vyakula vilikabidhiwa kwa Mkuu wa kitengo Bi. Gloria Mataba Tarehe 2 Septemba, 2022.