KITUO CHA POLISI KIBAHA
Kituo cha polisi kibaha kimepokea msaada wa vitendea kazi wa seti ya Kompyuta na Viti vitano (5) kwenye kitengo maalum cha kudhibiti uhalifu wa mitandao (Cybercrim Unit). Mkurugenzi wa Hazina Bw. Wenceslaus Fungamtama alikabidhi vifaa hivi kwa Kamanda wa Polisi Pwani RPC Bw. Pius Lutumo.