KISIMA CHA FURAHIA WANAWAKE - JIMBO LA PAJE
Benki ilikabidhi rasmi mradi wa kuchimba kisima cha Furahia wanawake waliopo Jimbo la Paje. Furahia wanawake wanajihusisha na kilimo cha mwani.
Kisima kilikabidhiwa na Afisa Mtendaji wa Benki Bw. Sabasaba Moshingi na kupokelewa na Mbunge wa jimbo la paje Mhe. Dkt. Sudi Hassan kwa niaba ya kikundi hicho.