MSAADA WA MEZA HAMSINI (50) NA VITI HAMSINI (50) - SHULE YA SEKONDARI PANGANI KIBAHA
Katika jitihada za kusaidia maendeleo kwenye sekta ya elimu na kuhakikisha mazingira bora kwa kila mwanafunzi, Benki ya Biashara Tanzania (TCB Bank Plc) imetoa mchango wa meza hamsini (50) na viti (50) kwa wanafunzi katika shule ya Sekondari Pangani iliyopo Kibaha.