MSAADA WA MIFUKO 100 YA SARUJI KITUO CHA POLISI KIBURUGWA
MENEJA WA TAWI LA MBAGALA BW. EDWARD MWOLEKA AKIKABIDHI MSAADA WA MIFUKO 100 YA SARUJI KWA DIWANI WA KATA YA KIBURUGWA MH. FATUMA MICHAEL KWA AJILI YA KUENDELEZA UJENZI WA KITUO KIPYA CHA POLISI CHA KATA HIYO.