MSAADA VIFAA TIBA VYA UCHUNGUZI MAGONJWA YA SARATANI - MTWARA
Tawi la Mtwara lilipata fursa ya kukabidhi vifaa kwa chama cha madaktari wanawake Mtwara manispaa kupitia hospitali ya wilaya likombe Na waliokabidhiwa ni Dk. Kelume Nyambi ambaye ni mwenyekiti wa kikundi,Afisa maendeleo ya jamii wilaya pamoja na meya wa manispaa ya Mtwara...Aliyekabidhi ni zuhura philemon Meneja Operesheni Zuhura Philemon