MSAADA WA VYAKULA NA VIFAA VYA MICHEZO KWA WATOTO WENYE MAHITJAI MAALUM - SHULE YA MSINGI BUNJU B
Benki imetoa msaada wa vyakula na vifaa mbalimbali vya michezo kwa ajili ya watoto wenye ulemavu wa ubongo ( Usonji) waliopo Katika Shule ya Msingi Bunju "B" jijini Dar Es Salaam.