MSAADA WA VYAKULA KITUO CHA HISANI ORPHANAGE - KIGAMBONI
Katika kuelekea kilele cha kusherekea Sikukuu ya Wanawake, Benki imeweza kutoa misaada ya vyakula katika vituo mbalimbali, moja wapo ni kitu cha Hisani Orphanage kilichopo Kigamboni chini ya ushirikiano na Halmashauri ya Kigamboni. Vyakula vilikabidhiwa na Meneja Wa Tawi la Kigamboni Lameck Buberwa (Kushoto) kwa Mkuu wa Wilaya Bi. Halima Bulembo (Kulia)