MAHITAJI MAALUM KWA WAGONJWA WANAWAKE WENYE SARATANI KATIKA TAASISI YA SARATANI OCEAN ROAD
Benki imetumia sikukuu ya wanawake kuwakumbuka na kuwatembelea wagonjwa wanawake wanaopatiwa matibabu katika hospitali ya Ocen Road na kutoa misaada mbalimbali.