MSAADA WA MAHITAJI MAALUM KATIKA HOSPITALI YA RUFAA KANDA YA MBEYA
Tawi la Mbeya na Mwanjelwa timu ya wanawake walishirikiana kufanya matukio kwa jamii kwa kutoa mahitaji maalumu katika kitengo kinachohudumia watoto waliozaliwa kabla ya muda (pre-mature) katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya. Ikiwa ni Ishara ya Kusherekea sikukuu ya Wanawake Duniani.