MIFUKO YA SARUJI - SHULE YA MSINGI KILAMBA
Benki ilifanikiwa kutoa msaada wa Mifuko 150 katika shule ya msingi Kilamba, iliyopo Mbagala Charambe kwa ajili ya kusaidia kuendeleza ujenzi wa madarasa.