SHULE YA MSINGI NYASA II - WILAYA YA NZEGA
Meneja wa Tawi - Nzega Bw. Shomari Shabani amekabidhi Madawati 70 katika Shule ya Msingi Nyasa II Kwa Mkuu wa Wilaya Bi. Naitapwaki Tukai. Hii ni moja ya jitihadi nyingine ambazo Benki inaendela kutekeleza ili kusaidia mipango ya Serikali hususani Sekta ya Elimu katika kuondoa changamoto zilizopo.