SHULE YA SEKONDARI NANGOMBA
Meneja wa Tawi la Masasi Mkoani Mtwara amekabidhi rasmi fenicha za ofisi ya walimu wa shule hiyo. Hafla hiyo ilifanyika tarehe 18.04.2023 Fenicha hizo zilikabidhiwa kwa Mkuu wa Wilaya Nanyumbu Mhe. Mariam Chaurembo na Mkuu wa Shule hiyo Bw. Peter Mauka.