MSAADA WA MABATI NA MIFUKO YA SARUJI - TANGA
Mkuu wa wilaya ya Tanga Mhe.James Wilbert Kaji akipokea msaada wa mifuko 100 ya Saruji pamoja na mabati 100 kwa ajili ya ukarabati wa shule ya msingi Masiwani iliyoko jijini Tanga kutoka kwa meneja wa TCB Bank Tawi la Tanga Bw. Patrick Swenya.