WOMEN IN BUSINESS FORUM MWANZA

Tanzania Commercial Bank imeandaa Kongamano la Wanawake jijini Mwanza linalohusu Nafasi ya Mwanamke katika kukuza uchumi wa Taifa. Kongamano hilo limejumuisha Wanawake wote, wajasiriamali, walioajiriwa na wastaafu. Kongamano hilo limezinduliwa rasmi na Mh. Angelina Mabula (Mb), Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi.

Location

Head Office 10th LAPF Towers,
Bagamoyo Road, Opp Makumbusho Village,
Kijitonyama,
P.O BOX 9300, Dar es salaam

Call Center

+255 765 767 683
+255 788 767 683
+255 658 767 683
+255 773 767 683

Email Us

info@tcbbank.co.tz,
callcentre@tcbbank.co.tz,