LAUNCH OF LIFE INSURANCE
Tanzania Commercial Bank kwa kushirikiana na Kampuni ya Alliance Life Assurance wamezindua Bima maisha kwa Wateja wenye akaunti binafsi katika benki ya TCB ambalo ni fao linalotolewa kwa wateja wenye akaunti binafsi wa benki ya TCB dhidi ya tukio la kifo cha mteja, mwenza, watoto (wasiozidi wanne) na ulemavu wa kudumu wa mteja unaotokana na ajali. Fao hili ni kwa wateja wa Tanzania Commercial Bank wenye akaunti binafsi.