LAUNCH OF PARTNERSHIP WITH STANDARD CHARTERED
Tanzania Commercial Bank na Standard Chartered Bank tumezindua upya mahusiano ya kibiashara kati ya benki hizo mbili. Mahusiano ambayo yanawawezesha wateja wa benki ya Standard Chartered kupata huduma za kibenki katika matawi 85 yote ya Tanzania Commercial Bank na katika Mawakala wote.