LAUNCH OF WOOD MIZER LOAN, MAFINGA.
Tanzania Commercial Bank imezindua rasmi mikopo ya mashine za kuchakata mbao Mafinga, Iringa. Kwenye picha ni matukio mbalimbali katika tukio hilo la kusaini Mkataba wa kukopesha mashine za kuchakata mbao. Mkataba huo umesainiwa na Mkurugenzi wa FDT Mr. David Shambwe kushoto, Mkurugenzi wa mikopo wa benki Mr. Henry Bwogi (katikati) na kulia ni Meneja wa LoanAgro Mr. Boniface Shayo.