BAGAMOYO MARATHON
Baadhi ya wafanyakazi walipata fursa ya kushiriki katika mbio za Bagamoyo Marathon.
Benki ilifadhili na kushiriki mbio za Bagamoyo kwa dhumuni la kutoa mchango kuwafikia waathiriwa wa sickle cell ambapo wengi wao ni watoto chini ya miaka 5.