TAWI LA TPA
Benki ya Biashara Tanzania (TCB Bank Plc) ilizindua tawi la TPA tarehe 16. 11. 2022
Tawi lilizinduliwa rasmi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki Bw. Sabasaba Moshingi, na kusherekewa pamoja na wafanyakazi na baadhi ya wateja.