TAWI LA KIGAMBONI
Benki ya Biashara Tanzania imezindua Tawi lake la Kigamboni tarehe 03 Februari, 2021 mkoani Dar Es Salaam. Sherehe ya kukata utepe ilifanywa na Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Mhe. Fatma Nyangasa ikifuatiwa na mapokezi ndani ya tawi.