TAWI LA MBAGALA
Tanzania Commercial Bank yazindua tawi lake jipya Mbagala, Dar es Salaam. Mhe. Jokate Mwegello Mkuu wa Wilaya ya Temeke(katikati) akizindua tawi jipya la Benki ya TCB lililopo Mbagala.